
- Main
- Catalog
- Health & Medicine
- Advertising on the Telegram channel «Mr Health Public Channel»

Advertising on the Telegram channel «Mr Health Public Channel»
Learn something new about your health every day.
Channel statistics
Full statisticschevron_rightUmewahi kuhisi korodani zako zina uvimbe, joto la ajabu au hata maumivu ya ndani yasiyoelezeka?
Ushawahi kuona korodani zako zikianza kulegea, kupungua ukubwa au nguvu zako za kiume zikidhoofika siku baada ya siku bila sababu inayoeleweka..?
Hali hiyo inaweza kuwa Varicocele..👇
Tatizo la mishipa ya damu kwenye korodani zako kushindwa kufanya kazi yake, na matokeo yake damu inajaa humo...
Kila sekunde, korodani zako zinakosa oksijeni, zinajaa sumu, mishipa inavimba, na nguvu zako za kiume zinaungua taratibu kama mshumaa wa pasaka... ☠️
Madhara yake sio hadithi— Ni ukweli mchungu amabo unakutafuna taratibu.... 👇
↳ Maumivu yanayokuja na kurudi
↳ Korodani kushuka na kulegea
↳ Kupungua ukubwa na ubora wa korodani
↳ Kushuka kwa homoni ya kiume (testosterone)
↳ Hatimaye, hata kupoteza uwezo wa kuzaa....
Na zaidi ya hayo, unajikuta ukipambana na....👇
↳ Aibu mbele ya mwenza wako
↳ Nguvu za kiume kushuka au kupotea kabisa
↳ Msongo wa mawazo na kupungua hamu ya tendo la ndoa..
↳ Mwili kukosa msisimko wa kiume –Misuli kudhoofika, motisha kupungua...
Broo.. varicocele haionekani kwa macho kila mara, lakini inaiba nguvu zako taratibu mpaka siku utakapoamka na kujiuliza: Nimeishaje hivi, imekuwaje tena...?
Nikuulize..? Umewahi kupima au kufanyiwa uchunguzi ili kuthibitisha kama tatizo hili limekugusa...?
Nipe REACTIONS 👍 Tulifika LIKES 999+ Nakuja na mwongozo tiba wa afya yako ya kiume...🩺
Kuna ugonjwa mmoja ambao unatembea kimya kimya...
Unakula ndoto za ndoa, Unavunja tumaini la uzazi, na kugeuza furaha kuwa machozi...
Umesikia nini kuhusu PID..!? (Pelvic Inflammatory Disease)🤔
Naam..! PID, Ni adui wa uzazi wa wanawake, Lakini cha kushangaza zaidi, Wanaume ndio chanzo kikuu bila hata kujua...☠️
Ipo hivi.....
PID (Pelvic Inflammatory Disease) Ni ugonjwa unaomchoma mwanamke —Si mwanaume.📌
Kwa sababu PID ni maambukizi yanayopanda juu kupitia njia ya uzazi ya mwanamke na kuathiri kizazi, mirija ya fallopian, na ovari...
Hapa ndipo siri ilipo… 👇
Mwanaume hauguwi PID, ila anaweza kuwa mhifadhi na msambazaji wa vimelea (bacteria kama Chlamydia trachomatis na Neisseria gonorrhoeae)...
Bila dalili, bila maumivu, unajiona mzima lakini unabeba kifurushi kisichoonekana ambacho kwa kila tendo la ndoa, kinasafiri hadi kwa mke wako..🤒
Na matokeo yake..?
↳ Mirija inaziba kabisa, Yai haliwezi tena kusafiri...
↳ Hormone imbalance, Mfumo mzima wa mwili wa mwanamke unavurugika...
↳ Maisha Bila mtoto, Familia inageuka uwanja wa lawama, na maumivu ya kimya...
Sasa, jiulize swali hili....
Kwa nini wanawake wengi wakitibu PID hawaponi kabisa..?☠️
Jibu ni gumu, lakini ukweli ni huu… 👇
Sio PID pekee inayokuumiza, Ni usugu wa vimelea unaosababishwa na matumizi mabaya ya dawa..
↳ Dawa za kuweka ukeni bila ushauri..
↳ Sindano za mara kwa mara, Wengine wamechomwa hadi 7 days bila mafanikio...
↳ Kutumia dawa bila kufuata mpango kamili wa tiba sahihi...
Matokeo yake?
Vimelea vinakuwa sugu, vinakataa dawa, na ugonjwa unarudi mara kwa mara huku ndoto za uzazi zikizidi kufifia...☠️
Siri ya ukombozi ipo hapa...👇
↳ Kupima kwa usahihi, Bila vipimo sahihi, tiba itakuwa ni kubahatisha.
↳ Kufuata ushauri wa daktari, Sio kujitibu ovyo ovyo kwa kununua dawa maduka ya dawa au mitandaoni...
↳ Wanaume kushiriki matibabu, Kwa sababu chanzo mara nyingi kiko upande wao..
NB: Kama wanaume tunalo jukumu la kulinda wake zetu.
Kama familia tunalo jukumu la kulinda vizazi vyetu.
Na kama jamii, tunalo jukumu la kuvunja ukimya, ili PID isiendelee kuua ndoto za uzazi....
Hii sio tu elimu, ni wito wa mapinduzi ya afya ya uzazi, Tuchukue hatua, Leo...🫡 Kama upo na mimi nipe Reaction 👍
Reviews channel
- Added: Newest first
- Added: Oldest first
- Rating: High to low
- Rating: Low to high
Catalog of Telegram Channels for Native Placements
Advertising on the Telegram channel «Mr Health Public Channel» is a Telegram channel in the category «Здоровье и медицина», offering effective formats for placing advertising posts on TG. The channel has 14.3K subscribers and provides quality content. The advertising posts on the channel help brands attract audience attention and increase reach. The channel's rating is 11.8, with 1 reviews and an average score of 5.0.
You can launch an advertising campaign through the Telega.in service, choosing a convenient format for placement. The Platform provides transparent cooperation conditions and offers detailed analytics. The placement cost is 6.0 ₽, and with 7 completed requests, the channel has established itself as a reliable partner for advertising on Telegram. Place integrations today and attract new clients!
You will be able to add channels from the catalog to the cart again.
Комментарий