
Get clients in any niche!
Delegate the launch of advertising to us — for free
Learn more
22.9

Advertising on the Telegram channel «HADITHI TAMU ZA MAPENZI❤️»
5.0
Books, Audiobooks & Podcasts
Language:
English
267
0
Share
Add to favorite
Buy advertising in this channel
Placement Format:
keyboard_arrow_down
- 1/24
- 2/48
- 3/72
- Native
- 7 days
- Forwards
1 hour in the top / 24 hours in the feed
Quantity
%keyboard_arrow_down
- 1
- 2
- 3
- 4
- 5
- 8
- 10
- 15
Advertising publication cost
local_activity
$7.20$7.20local_mall
0.0%
Remaining at this price:0
Recent Channel Posts
Mama alinijibu Lisa ameenda kwa shangazi yako leo kamkumbuka anataka akaenae japo wiki
Nikamjibu ok sawa nikaingia jikoni kupakuwa chakula na kumuandalia mama na mimi nilijiandalia
Tukawa tunakula chakula huku tunatizama tamthilia sebreni
Tulipomaliza nilitoa vyombo na kwenda kuviosha kisha nilimuambia mama leo naenda kulala mapema mwaya nimechoka sana
Mama aliniambia basi sawa haya usiku mwema ila kesho ukumbuke zawadi zangu nimekufanyia kazi zako zoote
Nilicheka na kumjibu sawa kpnz changu nitafanya hivyo haya usiku mwema
Itaendeleaaaa
254
16:58
27.03.2025
TRAMUU BABY💞❤️🔥1
Nilikuwa na marafiki zangu tunatembea huku tunapiga zetu story
Tulikuwa tunacheka na kutaniana sana sisi ni wafanyakazi katika kampuni fulani hivi na siku hiyo tulikuwa tunatoka ofisini tunaludi nyumbani
Tunafanya kazi ya clearing and forwarding ofisi yetu ipo maeneo ya mjini poster
Kwakweli huwa tunapendana sana tupo kama wanafamilia tukiwa ofisini
Basi bwana wakati huwo tunapiga Story na kucheka na utani nanini tukiwa tupo maeneo ya kituoni tunasubili gari
Ilipita gari nzuri sana na ndani kulikuwa na dereva na upande wa pili kulikuwa na kijana mmoja mkaka ni handsom sana smart anavutia kwa kila dada atakae muona
Nikaanaza kuwatania wenzangu mmemuona shemeji yanu hahahaa anatangulia nyumbani nitamkuta
Wenzangu wakawa wanacheka na kuniambia haya bwana itakuwa ndotoni yule na wewe mpo dunia tofauti sana
Tukawa tunacheka na kuendelea na mautani mengine lilikuja gari na wenzangu wakaingia na kuondoka
Mimi nakaa tabata wenzangu wanakaa sehem tofauti na mimi wakanipungia mkono na kuniambia kesho kuwa makini
Nilicheka na kuwaambia haya kesho
Nilikaa kituoni nikisubilia gari kwa muda kidogo
Nikiwa hapo nilikuwa board pekeangu nikawa nimeinama chini kidogo
Alikuja kaka mmoja na kuniambia samahani dada kunamtu pale anakusemesha
Niliinua uso kumtizama huyo kaka anaenisemesha akaniambia sio mimi niyupo pale kwenye ile gari nyeusi pale mbele kidogo
Nilimwambia bwana hebu niache mimi achana nae sikutaka hata kumuona huyo anaeniita kwenyehiyo gari nilijua niwahunituu wa mjini
Mala gari ya tabata ilifika nikainuka na kuingia kwenye gari
Yule kaka aliekuwa ananisemesha akaondoka zake kwenye gari
Wakati daladala linaondoka likapita karibu na hiyo gari aliyokuwa anaingia yule kaka aliyekuja kuniambia naitwa
Kumbe alikuwa dereva wa yule handsome tuliye muona akipita nikawadanganya wenzangu ni Boy wangu nilikaza macho ndani ya gari nikamuona yule handsom amekaa anachezea simu
Nilimtizama kwa dirishani nayeye alishusha kioo na kunitizama pia nilimtizama mpaka tulipopotea na daladala
Nilijisemea looh yaani kweli yule kaka alikuwa anataka kuongea namimi sijui nishuke
Ila nitaonekana rahisi sana wacha nimpotezee sio bahati kama ndio hivyo
Nilienda zangu nyumbani kwetu nilifika na kumkuta mama sikuhiyo kafanya shuguri zoote nilifurahi sana
Nikamwambia mama nitakununulia zawadi mama yangu kipnz
Mama alinijibu naitaka sasahivi hiyo zawadi sasa
Nilimjibu tulia basi best unaharaka sana ila leo nimechoka sana umefanya la maana sana ndio maana nakupendaga tukawa tunacheka
Nikaingia chumbani kwangu nikawa bado namawazo kuhusu yule kaka
Nikampigia sim rafikiangu mmoja wakaribu
Akapokea nikamwambia Linda huu sio utani kabisaa
Akaniuliza nini kwani mbona hujaongea sasa kitu chenyewe
Nikamwambia mliponiacha pale kituoni yule kaka aliludi tena na kupaki gari kwa mbele kidogo kisha alimtuma dereva wake kuja kuniita
Linda akaniuliza ehee ulienda na anasemaje amekutngz
Nilimjiju dah achatuu upuzwangu nilikuwa nimeinama kichwa chini alipokuja yule dereva nilikuwa nipo mbali kabisa kimawazo
Nilihisi wahunifurani hivii aliponiambia dada samahani kunakaka hapo kwenye gari anataka kuongea nawewe
Nilimjibu bwana achana namimi nilihisi niwahunituu wa mjini nimepoteza bahati mwenzio yani najilaumu sana
Linda alicheka na kuniambia lakini ngoja nikuambie kama umefanya hivyo nivizuri kpnz ili asikuone mwepesii sana
Na kama nimtu anakupenda kesho tena atakuja kukutafuta atakama sio kesho kaishajua unapandia wapi gari
Nilimjibu nikweli lakini
Linda aliniambia usihofu kisha tulicheka na kuanza maneno yetu ya utani
Ila nilimuomba usimwambie mtu yeyote wa ofisini kpnz changu
Linda alinijibu usijali lako langu langu lako kuwa na amani sawa
Nilimjibu sawa nakuamini best
Linda akaniuliza umefika nyumbani tayari
Nilimjibu tayari nipo nyumbani sasa haya nikuache nikaoge kwanza
Linda akaniambia basi sawa mwaya
Kisha nilikata sim na kuingia bafuni nikaoga na kutoka nikavaa dila langu nikatoka na kwenda sebreni
Nikamuuliza mama vipi Lisa kaenda wapi
250
16:58
27.03.2025
JOIN WHATSAPP CHANNEL KWA MIENDELEZO YOTE👇👇
👇👇👇
https://whatsapp.com/channel/0029VaoIWsl2v1Iu0ZtPgo2I
883
22:20
23.03.2025
JAMANI DOCTOR AAAAAAHHHH
SEHEMU YA "2"❤️❤️❤️❤️❤️❤️
basi nikachukua kile kinamba my wenu nikafika nyumbn sasa kaka kila mda anauliza umeandikiwa dawa gani me najiuma uma tu my wenu sielewi nijibuje basi badae nikamwambia mama anipe hela nikanunue dawa nmeisahau jina ila nikifika supermarket taijua alafu anipe na cm ake kipindi hiko sina cm hata
alaf nikifika nimpigie nimwambie bei yaani nilijiuma uma ilimradi anipe cm basi ile kunipa cm nikamtext hellow elias its skyler kidogo tu akapiga akanambia waoooh unataka kujua jina la dawa basi dawa za kaka zilitosha kabisa ila nilitaka unitafute
basi nikamwambia mwenzako nmedanganya nyumbn na hii cm ya mama angu nmechukua apa nipo njiani naenda duka la dawa akasema tuongee tu alafu ukifika nyumbani mwambie mama nmesahau jina la dawa na pia nmepoteza karatasi ili kesho wakutume uje uku hospital uulizee weee si nikaona hili bonge la mbinu woiiiii🤣🤣🤣
nikafurahi basi tukaendelea kuongea akaniuliza unasoma wapi nikamwambia umejuaje km me nasoma akasema si unaonekana km kakuku ka kienyeji kabisaa hahahaaa🤣🤣🤣🤣
basi nikamwambia akasema uko form two eeeh jmn ahahhaha nikamwambia hapana niko form 5 akasema una mwili mdg sana skyler aniiii unaonekana bhana mdg sana basi nilikuaga sipendi kuambiwa me mdg😪😪
nikamwambia bhanaa me stakii alf huyo doktor nilikua nmeshamkubali aiseee akanambia basi wewe mkubwa akanambia kesho ukija unataka nikupe nn nikamwambia sasa apo hospital utanipa nn dawa au sindano akasema ukija hauji hospital unakuja nyumbani😨😨kheeee
nikamwambia sawa ani nilikua sina kauli hata kdg basi mimi nikarudi nyumbn nikamwambia narudisha cm usinitafute takutafuta badae basi nikamwambia mama kua dawa nmekosa akasema nenda hospital ukaulize mimi nikasema sawa basi nikampigia nikamwambia nmeambiwa nije nikuulize sahivi akasema kwelii nikamwambia ndio ilikua km saa 10 jioni akasema waoooh basi njoo
nikamwambia uko wapi akasema niko hospital ila naingia kwenye operation kuna mama mjamzito anatakiwa operation ya haraka sana mimi huyo nikadandia bajaji mpk hospital kufika pale bhanaa kashaingia nmekaa saa 12 saa moja saa 2 mtu hatoki nikampigia kaka kwa cm ya mama nikamwambia dokta kaingia kwenye operation nmeambiwa nimsubiri namsikia mama pembeni anasema mda wote kwann asirudi nyumbn
ani huyu leo nakuja kumuumiza weeee nilinyanyuka fasta nikimbie nyumbn ile nakimbia nikatereza nikaanguka ila nataka kuinuka dr elias alifika akauliza skyler unaharaka ya wapi yani kidogo nimu😔😔 ue mgnjwa kwa kukuwahi wewe naww unataka kuondoka
Sasa namimi kwake sina shughuli nikamwambia hapana bhanaa sema tu niliona giza linaingia akasema hapana hebu njoo huku mara moja basi tukaingia kwenye chumba cha daktari ile tumeingia tu akafunga mlango
Akanishika mabe gani akaniegemeza mlangoni🥴🥴🥴 weeeee nikamwita Elias akaniitikia naam😊😊jmn huyo kaka ana mid🙈mo mizurii sijui niwaoneshe au basi🤣🤣🙌🏼🙌🏼basi nikamwambia baba angu leo atani😌😌 ua plzz naomba niende
akasema jmn kumbe sio mwili tu hata akili zako ni za kitoto basi akanishika mashavu akanambia we ni kazuriiiii 😎😎kwa mara ya kwanza nilipata kihali fulani mhhhh🙈🙈
Nikahisi naniliu yangu inawaka moto kuhema kwenyewe kwa shida hahahaaaa nilikuwa namuonea aibu my wenu🫣🫣basi jamaa akan shika vzr akanambia funga macho weeee nikafumba vimacho mala nikasikia kitu kila ini kwenye midm yangu🙈🙈
Ali😌😌😌mpaka nikaji chafua wakati anaendelea maracm ya mama ikaita wee nilishtuka nikamsukuma nikafungua mlango mbio kufika nje giza bajaji hazipo....
Itaendeleaaaaaa
1168
07:52
22.03.2025
basi akanambia ngoja niwafanyie mpango muepukane na foleni kamlete nikaenda nikampeleka mpk chumba cha daktari me nikatoka nje akamchukua maelezo tukaenda maabara akapima tukarudisha majibu
basi bhana baada ya hapo wakati tunaenda kuchukua dawa kuna dawa tukaikosa wakasema twende tukamwambie dokta atuandikie tukanunue nikamuacha kaka nikaenda mwenyewe nmefika dokta😌❤️
akasema nilijua tu utarudi sababu nilishindwa kukupata ukiwa peke ako😌❤️❤️ nikaona niandike dawa ambayo haipo😌😌 ili urudi nikacheka🤣🤣🤣 ukweli nilikua napenda sana kumuangalia yule dokta😌😌❤️
basi akanambia sikuandikii dawa ila nakuandikia namba ya simu ukanitafute uniambie nikutajie jina la dawa🤣🤣🤣🤣 nikasema huyu akinito ng*za simwambii tena baba🤣🤣🤣 basi nikachukua namba 😌😌❤️❤️❤️itaendeleaaaa
Nawapenda😌😌❤️❤️❤️
1075
02:32
21.03.2025
JAMANI DOCTOR AAAAAAHHHH
SEHEMU YA "1"❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Mwenzenu kwa majina tuseme naitwa skyler ni mzaliwa wa mwisho ktk familia ya watt wanne wa kwanza dada wapili kaka watatu dada na wanne ni mimi apa skyler kwetu ni wakristu na tunaishi na mama baba yetu alifariki miaka ya nyuma kdg iliyopita😞
basi bhana nilimaliza form four 2011 story yetu ianzie hapa tangia nmevunja ungo nikiwa form one sikuwahi kua na mahusiano kabisa hio ni kwa sababu kwetu walikua wanatuchunga sana sio wa kishua ila tulikua hakuna kutoka mpk ruhusa maalumu
pia changamoto ilofanya nisiwe na mahusiano nilikua nina kimwili kidogo sana nahisi wanaume walikua wanahisi bado mdg 🤣🤣🤣
sasa bhana baada ya kumaliza form four huyu dada angu mkubwa alinichukua niende kwake mjini mkoa tofauti na mkoa tunaoishi basi nilikaa huko mpk matokeo yalipotoka nilifaulu na nilifanikiwa kuchaguliwa shule ya kidato cha tano
Basi nikarudi nyumbani kwa mama kumuaga kwa ajili ya kwenda shule
Nakumbuka ilikua siku ya jumapili nilikua nmetoka mnadani nadhani mnaelewa nikisema mnada sasa mkoa niliokuepo ulikua na baridi sasa
namimi nina matatizo ya kifua basi niliporudi nyumbn mida km ya saa tatu usiku hivi nikabanwa na kifua nilikua nashindwa kupumua na kuongea mama angu akanipeleka hospital kipindi hicho baba angu bado mzima
walikua baba mama na kaka yangu tumefika tukaambiwa kuna mgonjwa wa ajali kaletwa daktari anamuhudumia kwahyo tusubiri basi bhana tumesubiri mwishoe nilizidiwa nikazimiaa sasa nilivozimia baba angu alikua mkali
mpaka akampiga nesi makofi ikabidi daktari aje kumbe alivomaliza kumshona mgonjwa alienda kulala🤣🤣🤣 basi alivokuja alinihudumia baba angu alimwambia asiondoke mpk niamke
kwahyo yule daktari bhanaa akakaa apo pembeni yangu mpk nilivoamka Uzuri nililazwa private ward hatukua na hali nzurii kiivo ila familia yetu inajali Sana maswala ya afya basi ile kuamka nikamuona mkaka kalala kwenye kiti kaegemea kitanda🤣🤣
nikamuamsha samahani dokta nilijua ni dokta sababu alivaa makoti yale ya kidaktari basi akaamka akasema thanks God umeamka we mtt kaaah baba ako alitaka kuniharibia kibarua changu
basi akasema unaitwa nani nikasema skyler akauliza una miaka mingapi nikamwambia 17 akasema unajisikiaje nikamwambia vzr ila mwili unauma akasema sababu ya kubanwa kifua kwa muda mrefu
Basi akaniangalia akanichoma sindano alikua ana biblia mkononi akanambia tuombe kheeeee mimi namshangaa tu alikua ni mkaka mzuri sio mrefu ni mfupi mweupe ana midomo mizuriiiiiiiiii🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰 alf msafiiiii alf anaongea kipole sana sanaaaaaa
basi akaomba anamaliza akaondoka ila nikajikuta namuwaza natamani sana sanaaa aje aniongeleshe na mimi kumbuka sikuwahi kua kwenye mahusiano apo ht siku moja nilishawahi kuto ng*zwa na rafiki ake kaka angu weeeee nilimsemea kwa baba fasta sana🤣🤣🤣🤣
na nilishawahi kuandikiwa barua na jirani yetu nikampelekea mama angu🤣🤣🤣 basi tangia apo nilikua nikuto ng*zwa nasemelea mpk baba akawa anasema nina akili za kitoto mpk namaliza form four nilikua nikito ng*zwa nasemelea🤣🤣
basi nilikaa hospital mpk kesho yake tena asubuhi nikaruhusiwa ila hakua yule dokta tumpe jina la Elias basi bhana nmerudi siku zikasonga hatimae siku za shule zikakaribia nikajiandaa huyo baba akanipeleka shule
Maisha ya shule yalikua magumu sababu sikuwahi kusoma boarding lkn nilizoea mpk ikafika likizo ya kwanza likizo fupi nikaenda kwa dada angu mkubwa sababu kwake ilikua ni mkoa mmoja na shule nilopangiwa.
Nilimmiss sana mama angu sababu mimi nmezoea kuishi nae lkn ndo hvo sikwenda likizo ilipoisha nikarudi shule nikasoma😣😣 mpk ikafika likizo kubwa ndo nikaenda kwa mama
Sasa nilipofika tu nyumbn nilikuta kaka angu anaumwa kipindi hicho kamaliza shule anasubiri Ajira sasa kesho yake mama akanambia mpeleke kaka ako hospital apo kijijini kwetu hospital ni hio moja ndo kubwa
nyingine ni Dispensary tu basi nilivofika tu nikakutana na yule yule dokta Elias😌❤️ akasema skyler vipi na leo umekuja na baba ako nikamwambia hapana kaka angu anaumwa akasema yuko wapi nikamwambia mapokezi
955
02:32
21.03.2025
808
21:50
19.03.2025
JOIN WHATSAPP CHANNEL KWA MIENDELEZO YOTE👇👇
👇👇👇
https://whatsapp.com/channel/0029VaoIWsl2v1Iu0ZtPgo2I
1013
21:44
17.03.2025
Mwanaheri alinyanyuka akachukua
mafaili yaliyoanguka
"Siwezi kupigizana kelele na majnuni
wote tutaonekana Ni walewale subiri
uone kitakachotokea nakwambia
Naina nitahakikisha unaumia mara
mbili na ninavyOumia Mimi. Naina
alicheka Sana
Mimi na wewe Nani anaepiga kelele
au Nani Nimajnuni, hizo dhiki zako
zitakutokea puani Mimi sio Nice
aliekuachia umchukue bwana ake
kirahisi.
" Hata wako naweza kumchukua
vilevile.
" Tariq na wewe kinuka mkojo
anakupeleka wapi alafu ungejua jinsi
anavyokuchukia hataki hata
kukuona ndio maana soon
utatimuliwa hapa. Safari hii
mwanaheri alimsukuma Naina kwa
hasira, Naina akaanza kulakamika
" Mamaaa amenivunja kiun Tariq
alifungua mlango akamkuta Naina
bado yupo chini na mwanaheri
kasimama alimfuata Naina
Akammsaidia kunyanyuka na kuanza
kufoka
" Mwanaheri umefanya nini?
" Oooh kumbe mkuki kwa nguruwe
kimekuuma Sana Mimi kumsukuma
huyo nyau wako Mara moja ye kanisukuma zaidi ya mara tatu uko kimya..
Nyamaza tambua unaongea na
boss wako hivyo kuwa na adabu.
Mwanaheri alirudi ofisini kwake
Nilikuwambia baby huyu sio mtu
wa kumuweka hapa ona Sasa alitaka
kunivunja mgongo.
" Nawewe usijifanye mwema
nimesikia kila kitu na wewe siku zote
ndio mkorofi.
" Kwahiyo unamtetea mfanyakazi
wako.
"Nadhani unanijua vizur huwa
sipendi kutetea ujinga wewe Ni
mkosaji na kuanzia leo naomba
usikanyage hapa kazini kwangu
kuwa mpnzwangu sio kigezo Cha
kutawala na kukifanyia maamuzi
kile ninachokimiliki mwanaheri Ni
mfanyakazİ wangu nikitaka kumfukuza kazi
Nitamfukuza Mimi Tena
bila ya ushawishi wa mtu yoyote hata
akiwa
mama yangu mzazi. Naina
alibaki kumshangaa
"Naomba uende tutaonana badae.
Naina aliondoka akiwa kashika
kiunona Tariq alirudi ofisini kwake
Mara mwanaheri aliingia
" Vipi Tena kwasasa sitaki mashtaka
Mwanaheri hakumjibu alienda
kumuwekea mafaili mezani na barua
"Hiini barua yangu ya kazi
nimeamua kuacha kazi mwenyewe kabla hamjafanya
maamuzi ya kunifukuza.
" Nimekwambia saa ngapi
nakufukuza kazi
"Uliepanganae huo mpango ndo kaniambia
nakutakia kila la heri boss Tariq
Mwanaheri alipiga hatua mbili Tariq
akasimama akapiga hatua na kumshika bibie mkono😌😌😌
Itaendelea
1257
21:07
15.03.2025
BINTI KIJAKAZI💖 17
Lina alichanganyikiwa wala hakua anajua kama Tariq alijua kila kitu kilichotokea..
Alitoa macho huku akiwa anamwangalia mwanaheri na boss wao ambaye ni Tariq
" Usiniangalie Mimi muelekeze
mwenzio ulichomfanyia maana Mimi
niliona kila kitu. Lina alimuangalia
mwanaheri
"Unaniangalia Nini si uniambie Sasa
ulinifanyia Nini maana hapa nilipo
sijielewi kwanza sijui hata vitu vyangu
viko wapi.
" Vitu vyako anavyo Nancy
"Nasubiri umwambie Nina kazi
nyingi za kufanya.
Samahani mwanaheri naomba
unisamehe Sana nilishawishiwa na
hela.
Sasa nakusamehe vipi wakati silijui
kosa lako.
Sameer alinipa dawa nikuwekee
kwenye kinywaji chako.
.....
Eeeee unasemna Nini Lina?
Nisamehe Ni shetani alinipitia
Shetani gani huyo wakati wewe
ndio huyo shetani sikujua Kama
wewe Ni mbaya kiasi hicho kwahiyo
ungefurahi baada ya Mimi kub*kwa
au. Mwanaheri aliongea kwa hasira
huku akitaka kumvaa Lina ikabidi
Tariq aingilie
Sitaki mgombane mwanaheri
naomba haya yaishe na
ulichofanya Lina sijakipenda
endapo utarudia kufanya ujinga
Kama uliofanya nitakufukuza kazi na
kufunga nitakufunga
" Naomba unisamehe boss nakuapia
sitarudia Tena . Baada ya
kusuruhishwa Tariq aliwaruhusu
waondoke. Walipofika mlango
mwanaheri alirudi.
"Naomba unisamehe boss
Tumeshamaliza hayo nenda
kaendelee na kazi . Mwanaheri alihisi
Tariq kakasirika .
"Unasubiri Nini nenda. Mwanaheri
aliondoka
" Yani huyu Lina anabahati
amshukuru Sana Tariq Yani
nimgemrarua siku nyingine
asinitanie ujinga
Siku hiyo mwanaheri alikuwa na
hasira Sana na Lina lla alijizuia
kutokana na onyo la boss wao. Jioni
alipokuwa anarudi nyumbani kwao
akakutana na pili
"Eheeee afadhali nimekuona Yani
hizi hasira zangu nitazimalizia kwako
nyami shavu wewe.
" Kwani nimekufanya Nini ?
"Unajifanya unaugonjwa wa kusahau
Sasa ngoja nikukumbushe na makofi
mawili kwenye hiyo mi shavu yako.
Mwanaheri aliongea huku akijiandaa
kumpiga Pili alipoona mwanaheri
anamaanisha anachokiongea alivua
viatu akakimbia
"Unakimbia Nini wewe si hodari wa
kusuta ungesimama uone na
ukawafikishie salamu zangu hao
vibaraka wenzio na hivi viatu
navichukua nitaenda hata kuongea
Mwanaheri aliinama akachukua
viatu na kuondoka
Tariq alikuwa bize na Mambo yake
hakuwa na maongezi mengine na
mwanaheri zaidi ya kazi tu. Siku
moja Naina alienda kazini kwa mchumba wake
Kama kawaida yake alipitiliza ofisini
kwa Tariq
"Baby nimekuja kukupitia tukapate
lunch pamoja
" Leo haitawezekana Kuna kazi
natakiwa kuimalizia hapa.
" Tariq mpnzwangu mbona siku
hizi sikuelewi kila ninachokwambia
lazima uweke kipingamizi.
Kwahiyo hutaki nifanye kazi kWaajili
ya maisha yetu unataka tufuatane
Kama kumbikumbi ?.
" Sijamaanisha hivyo mbona zamani
tulikuwa tunatoka pamoja na kazi
ulikuwa unafanya
"Zamani na Sasa ni tofauti usiishi
kwa kukalili my dear alafu kumbuka
natakiwa kutafuta pesa kwaajili ya
posa na kuandaa ndoa yetu kwahiyo
naomba unipe nafasi ya kupambana
hayo Mambo mawili.
" Sawa lakini nifikirie hata weekend
moja nimemiss Sana kuwa pamoja
na wewe.
" Sawa nitajitahidi. Naina alinyanyuka
akamsogelea waka😘😘 wakaagana
Kisha Naina akatoka alipofika
mlangoni alimuona mwanaheri
anaelekea ofisini kwa Tariq ikabidi
Naina asimame kumsubiri.
Mwanaheri alipofika karibu alitaka
kufungua mlango Naina akamzuia
Mwanaheri akamuangalia bila
kusema kitu
"Nilikuwa nakufuata imekuwa bahati
kukutana hapa
"Ulikuwa unajipya gani?
"Nilikuwa nakupa taarifa jiandae siku
yoyote kuanzia Sasa utakuwa huna
kazi.
"Unaongea hiyo Kama Nani?
"Heeee unajizima data hujui
naongea Kama Nani?
" Sijajua ndio maana nauliza
nimeuliza ili nijue.
" Ok utajua hiyosiku ikifika.
" Sawa hawavra wa boSs. Alijjbu
mwanaheri huku akitaka kuingia
ofisini Naina akamsukuma
mwanaheri akaanguka kishindo Cha
kuanguka kilimfanya Tariq ashituke
na kusogea karibu na mlangoni
Hii Ni trela picha kamili inakuja.alisema naina
989
21:07
15.03.2025
close
Specials
BETTING AND GAMBLING

Channels
13
120K
lock_outline
CPM
lock_outline$$ 495.10
$$ 445.58
-10%
Reviews channel
keyboard_arrow_down
- Added: Newest first
- Added: Oldest first
- Rating: High to low
- Rating: Low to high
5.0
2 reviews over 6 months
Excellent (100%) In the last 6 months
c
**ffeenold@******.io
On the service since June 2022
13.01.202500:29
5
Everything is fine. Thank you!
Show more
New items
Channel statistics
Rating
22.9
Rating reviews
5.0
Сhannel Rating
2
Followers:
12.4K
APV
lock_outline
ER
2.5%
Posts per day:
0.0
CPM
lock_outlineSelected
0
channels for:$0.00
Followers:
0
Views:
lock_outline
Add to CartBuy for:$0.00
Комментарий