
Get clients in any niche!
Delegate the launch of advertising to us — for free
Learn more
26.7

Advertising on the Telegram channel «Fahamu Mengi»
5.0
3
Curious Facts
Language:
English
528
0
Share
Add to favorite
Buy advertising in this channel
Placement Format:
keyboard_arrow_down
- 1/24
- 2/48
- 3/72
- Native
- 7 days
- Forwards
1 hour in the top / 24 hours in the feed
Quantity
keyboard_arrow_down
- 1
- 2
- 3
- 4
- 5
- 8
- 10
- 15
Advertising publication cost
local_activity
$2.40$2.40local_mall
0.0%
Remaining at this price:0
Recent Channel Posts
imageImage preview is unavailable
unamfahamu jamaa katika picha!!
Huyu jamaa anaitwa Felix Baumgartner, alizaliwa mnamo mwaka 1969 siku ya 20 katika mwezi wa April.
Jamaa huyu kwa wale wafatiliaji wa sayansi ya anga wanampa heshima kubwa kutokana na record alioiweka mnamo mwaka 2012.
Siku ya tarehe 14 October 2012 Mr. Felix Baumgartner alienda juu ya anga na kufikia katika space station kisha kujiachia ili arudi duniani pasina usafiri wowote, alitumia dakika 4 na sekunde 19 tu mpaka kufika katika uso wa dunia huku akiwa ametembea umbali wa kilomita 39
mnamo mwaka 2022 october 14 ilifanyika sherehe ya kusherehekea miaka 10 ya mtu pekee alie weka record ambayo haijavunjwa kwa ndan ya kipindi hiko, Mr. Felix ameweka rekodi japo hakua mtu wa kwanza kushuka kutoka angani tukikumbushia stori ya Mzee wetu Mr. Joseph Kittinger ambae alishuka umbali wa kilometer 31.3 ndani ya dakika 4 na sekunde 36 mnamo mwaka 1960 August 16.
752
08:56
13.04.2025
imageImage preview is unavailable
FRANSISCO DOMINGO JOAQUIM huyu jamaa anatokea nchini Angola na inasemekana kua ndie binadamu mwenye mdomo mpana zaidi duniani.Akiachama (kufungua mdomo) upana wa mdomo wake kwenda juu ni 17cm yaani sawa na nusu rula tunazotumia mashuleni zile za urefu wa 30cm.
955
19:07
09.04.2025
imageImage preview is unavailable
Picha ya mapacha Billy Leon aliyeishi kati ya mwaka 1946 na 1979 pamoja na Benny Loyd aliyeishi kati ya mwaka 1946 na 2001 ndiyo wanaoshikilia record ya dunia ya kuwa mapacha wazito zaidi. ) Billy alikuwa na uzito wa kilograms 337 wakati Benny alikuwa na uzito wa kilograms 328.
1079
05:56
07.04.2025
imageImage preview is unavailable
PAPA huendelea kukua katika kipindi chake chote cha maisha.Pia papa ni moja kati ya viumbe wachache wasiopatwa na magonjwa.
1112
03:20
06.04.2025
Unaripoti mtandao wa BBC April 27, 2016 na Mtandao wa Forbes Augost 6, 2016.
Trasmoz ni kijiji kidogo kilichopo katika milima ya Micayo mjini Zaragoza, Aragon kaskazini mwa Hispania, ni kijiji kidogo tuu chenye idadi ya watu wasiofika 100. Watu wote katika kijiji hiki ni wachawi, wanazo alama zao ambazo zimechorwa kwa rangi nyeupe katika kila mlango wa nyumba ya kila mwanakijiji wa hapo.
Inaelezwa kwamba kijiji hiki kimelaaniwa na kanisa katoliki duniani, yaani kutokana na kuwa ni kijiji cha wachawi pekee basi kanisa katoliki halikitambui wala haliwatambui watu wanaoishi huko kwamba nao wapo katika dunia hii, kanisa limekilaani kijiji hiki na watu wake.
Kila ikifika mwezi June wa kila mwaka wachawi katika kijiji hiki huandaa tamasha kubwa ambalo pia hutoa zawadi kwa yule wanaemwita mchawi bora wa mwaka, kwa lugha yao wanamwita Bruja del Ano, na kila mchawi aliyewahi kupewa tuzo hiyo amewekewa alama maalumu katika nyumba yake, katika maonyesho haya pia huuza dawa.
Mwandishi mmoja wa BBC aliwahi kufika katika kijiji hicho mwaka 2016 kwa lengo la kuujua ukweli na alikutana na Lola Ruiz Diaz ambaye ndiye alikuwa mchawi bora wa mwaka huo, alipoulizwa kuwa unapaswa kufanya nini ili uibuke mshindi wa mchawi bora wa mwaka Ruiz alijibu:-
"Ni wazi kwamba lazima uwe na ufahamu mkubwa wa dawa za mimea, lakini muhimu zaidi lazima ushiriki katika historia na uendelezwaji wa vitu vyote vinavyohusiana na Trasmoz, kuwa mchawi leo ni beji ya heshima."
Taarifa zinasema kuwa kanisa katoliki lilikilaani kijiji hicho toka miaka mingi sana iliyopita, na licha ya kwamba kilikuwa na idadi ya watu zaidi ya 10,000 katika karne ya 15 lakini watu wote walihama na hadi mwaka 2018 kulibaki na watu 89 tuu ambao wote walikuwa wachawi.
Miaka ya nyuma katika karne ya 13 majengo yote katika kijiji hiki yaliwahi kuharibiwa kwa kuvunjwa vunjwa, lakini ajabu ni kwamba yalijengwa upya kwa siku moja tuu na mchawi liyekuwa anaitwa Mutamin. Huku hakuna maduka, hauna shule hakuna huduma yoyote ya kijamii kwa watu hao.
1285
13:41
03.04.2025
imageImage preview is unavailable
Mnamo mwaka wa 2014, msichana wa miaka mitatu alinusurika kwa siku 11 katika msitu wa Siberia uliojaa dubu na mbwa mwitu, akiwa na mbwa wake pekee kama kampani.
Alikula matunda ya porini na kunywa maji ya mto ili kuishi. Hatimaye alikombolewa wakati mbwa wake alirudi kijijini na kuongoza waokoaji hadi mahali alipo.
1140
14:23
02.04.2025
Ilikuwa ni November 1930 ambapo mfanyabiashara Joe Labelle raia wa Cannada alitembelea katika eneo la ziwa Anjikuni lililopo huko Kivailiq kaskazini mwa Cannada, karibu na ziwa hili kulikuwa na makazi ya watu, ni kijiji Cha Inuit, lakini mara baada ya kufika hapo hakumuona hata mmojawapo.
Licha ya kuona kama kuna watu walikuwepo dakika chache nyuma lakini hakumuona yeyote. Inaelezwa kuwa aliona kabisa kama kuna shughuli watu walikuwa wanafanya dakika chache nyuma lakini hawapo, aliona milango ipo wazi, chakula kimeliwa nusu kuashiria watu walikuwa wanakula, lakini hakuona mtu yeyote.
Joe alikuwa anatembelea katika kijiji hiki mara kwa mara kwaajili ya ununuzi wa manyoya ya wanyama aliokuwa akiufanya, lakini safari hii alistaajabu kuona hakuna mtu yeyote katika kijiji kizima licha ya kushuhudia shughuli mbalimbali zilizoonyesha kuwa watu walikuwepo dakika chache tuu nyuma.
Katika nyumba nyingine aliona moto unawaka jikoni, vyakula vilivyokuwa vinaliwa, sindano ipo mezani ikiwa na uzi kuonyesja kuwa kuna mtu alikuwa anashona muda mchache nyuma NK. Kulikuwa na zaidi ya wanakijiji 2,000 katika kijiji hiki.
Kwa mujibu wa maelezo yake mwenyewe alisema kuwa ilibidi atembee maili kadhaa kwenda kutoa taarifa Polisi kwakuwa hiyo haikuwa hali ya kawaida, yaani hata wanyama aliokuwa amezoea kuwaona pia hawakuwepo!, hakukuwa hata na nyayo za miguu.
Licha ya Polisi kufika kijiji hapo lakini hali ilikuwa hiyo hiyo, wakafanikiwa kuwaona mbwa wengi wamekufa kwa kufungwa kamba kweye miti kando ya kijiji hicho, Makaburi yalikutwa yamefukuliwa, lakini hawakufanikiwa kupata majibu yoyote juu ya wapi walipokuwa wanakijiji hao.
Watafiti walikuja na majibu ya kwamba mbwa hao walikuwa wamekufa kwa njaa, na wanakijiji hao inawezekana waliondoka na kuhama kijiji hicho. Lakini iweje iwe katika mazingira hayo ya kuonekana kama kila mmoja alisimamisha shughuli aliyokuwa akiifanya? Hakuna majibu hadi leo.
626
14:17
02.04.2025
imageImage preview is unavailable
Welcome to the IBM Quantitative Trading Platform
Quickly earn the difference through quantitative trading on the platform
The most secure quantitative trading platform in 2025
☄️
Note: The stored value amount initiates the corresponding version and receives a percentage of the current version.For example, with a storage value of 60USDT activated VIP-2 version, the single quantization return is 60×20.41%%=12.2USDT
The platform takes 2% of the quantified revenue as operating costs.
Official Registration:https://2025ibm.com/#/register?ref=467773
476
13:07
31.03.2025
imageImage preview is unavailable
Kuna mgahawa huko Los Angeles unaitwa Lustig ambapo unaweza kula bure ikiwa wewe ni mrefu zaidi ya mpishi.
334
08:30
28.03.2025
M'bakaji huyo ni Klaus Grabowski, mwenye umri wa miaka 35 mmiliki wa duka la nyama, mtoto Anna Bachmeier mwenye umri wa miaka 7 tuu alikuwa anaenda kucheza na paka wake mbele ya duka lake hilo, ndipo Mei 5, 1980 akamteka nyara na kumfungia nyumbani kwake akimbaka hadi kifo.
Baada ya kumaliza ubakaji wake, Klaus alimfunga mtoto Anna kwemye box na kwenda kumtupa nyuma ya bank moja mjini humo kabla ya kudakwa na dola.
Kwa mujibu wa taarifa ni kwamba bwana Klaus alikuwa amefungwa jela mara kadhaa katika miaka ya nyuma kwa makosa hayo hayo ya unyanyasaji wa kingono kwa mabinti, kwahivyo hio haikua mara ya kwanza.
Marianne aliyekuwa mmiliki wa mgahawa aliiambia mahakama kwamba alikuwa amechukizwa mno na maneno ya mhalifu huyo eti kwamba binti yake Anna wa umri wa miaka 7 ndio aliyekua amemtongoza jamaa huyo, ndio maana akaamua kumuulia mbali.
Aliingia na bunduki katika chumba cha mahakama huko Lübeck Germany wakati kesi inaendelea mwaka 1981 na kumpiga mshtakiwa risasi saba na kufa papo hapo.
Machi 1983 Marianne alihukumiwa kifungo cha miaka sita gerezani kwa mashtaka hayo ya kuuwa pamoja na kumiliki silaha kinyume cha sheria, lakini aliachiliwa huru baada ya miaka mitatu kutokana na utiifu wake katika mid wote akiwa gerezani.
Marianne alifariki mwaka 1996 kutokana na saratani akiwa na umri wa miaka 46 na kuzikwa katika kaburi lile lile alilozikwa binti yake miaka 16 iliyopita.
167
20:07
24.03.2025
close
Specials
Advertise Now

Channels
3
14.6K
lock_outline
CPM
lock_outline$$ 16.78
$$ 15.10
-10%
Reviews channel
keyboard_arrow_down
- Added: Newest first
- Added: Oldest first
- Rating: High to low
- Rating: Low to high
5.0
2 reviews over 6 months
Excellent (100%) In the last 6 months
c
**ffeenold@******.io
On the service since June 2022
18.03.202512:48
5
Everything is fine. Thank you!
Show more
Channel statistics
Rating
26.7
Rating reviews
5.0
Сhannel Rating
10
Subscribers:
2.9K
APV
lock_outline
ER
6.5%
Posts per day:
0.0
CPM
lock_outlineSelected
0
channels for:$0.00
Subscribers:
0
Views:
lock_outline
Add to CartBuy for:$0.00
Комментарий