💸 Discounts up to 70% for Business & Finance
Catch the best ad slots in business-related channels — only until April 6!
Grab discount
22.8

Advertising on the Telegram channel «Chakushangaza»
5.0
5
History
Language:
English
385
0
"Uncover the untold stories of the past and journey through the corridors of history with us. Join our telegram channel for a glimpse into the captivating tapestry of human civilization. 🌍📜 #HistoricalNarratives"
Share
Add to favorite
Buy advertising in this channel
Placement Format:
keyboard_arrow_down
- 1/24
- 2/48
- 3/72
- Native
- 7 days
- Forwards
1 hour in the top / 24 hours in the feed
Quantity
%keyboard_arrow_down
- 1
- 2
- 3
- 4
- 5
- 8
- 10
- 15
Advertising publication cost
local_activity
$2.40$2.40local_mall
0.0%
Remaining at this price:0
Recent Channel Posts
imageImage preview is unavailable
#CHAKUSHANGAZA
Mwaka 2008, Mwezi Julai, Tanzania ilishuhudia tukio la aina yake la kiimani. Wahubiri wa Injili 17 wa madhehebu ya waadventist Wasabato masalia walipiga kambi uwanja wa ndege wa Dar es salaam wakisema wanataka kwenda kuhubiri Injili Ulaya na Marekani huku wakiwa hawana visa wala ticketi za kwenda huko.
WAO WALIDAI TIKETI ZAO NI BIBLIA NA KWAMBA MUNGU ATATENDA MIUJIZA. Askari wakawatimua. Siku tatu baadae wakarudi tena! Safari hii wakiwa 51! Kwa madai yaleyale.Serikali ikawatimua tena bila huruma. Imani pasipo maarifa.

540
19:02
22.03.2025

(SEHEMU YA KUMI)
Alianza kushuka MR. BASIL kwa kuwa yeye ndo alikuwa mastermind wa tukio zima, alianza kushuka kupitia ule mfumo wa wazi wa lifti [elevetaro shaft] na kuanza kushuka taratibu kuelekea chini [sio kazi rahisi kabisa kwani ukikosea tu kushuka inakula kwako] na hatimaye alifika mpaka chini ya ardhi salama na wazee wengine watatu wakafuata kuelekea chini pamoja na vifaa vyao vya kazi, wengine wale wawili wakabaki kwenye lifti kama tahadhari endapo ikitokea ishara yoyote ya kushtukiwa waweze kuendelea na lifti ili ionekane kuna watu wapo wa manispaa ndani ya lifti [hii ilikuwa ni mbinu nzuri kwa tahadhari, kiukweli BASIL alikuwa genius sana]. Huku nyuma Yule mzee wa kuhakikisha dastibini zinafika mahala pake alizifikisha na pia kuweza kuendelea kuziangalia kwa ajili ya usalama kama alivyopewa jukumu lake na Yule mwingine wa ukaguzi wa nje katika kuhakikisha kila kitu kipo sawa na kuweza kuwapa wenzake ishara endapo watashtukiwa na walinzi. Yeye aliendelea na jukumu lake la kuzurura na gari kuhakikisha usalama upo.
Mzee mkaguzi wa nje alifanya kosa kubwa sana katika mpango kazi wao kwani yeye katika ukaguzi wake alitumia gari yake binafsi iliyosajiliwa jina lake kwa kujiamini kuwa yeye atakuwa kwenye ukaguzi wa nje kwa hiyo hana haja ya kukodi gari kama wenzake ambao wanakuwepo eneo husika kwani yeye alikuwa na gari anapita pita kwa nje ya HATTON GARDEN mara nyinginyingi katika jukumu lake la ukaguzi, tutakuja kuona huko mbele kosa lake lilivyowagharimu.
Wakina BASIL kule chini ya ardhi walivyofika wote wanne na vifaa vyao, cha kwanza kabisa MR BASIL akamwambia mzee mwingine amabaye alikuwa mtu wa vyuma [mechanical engineer] kuwa huo malango wa chuma autegue ili waweze kuingia ndani na Yule mzee alifanya hivyo kwa kuweza kuufungua ule mlango wa chuma na kuweza wote kuingia ndani.
Baada ya kuingia ndani kuelekea kwenye kuba kulikuwa na ulinzi makali uliounganishwa na alarm, kazi ikawa ni namna ya kuzimisha alarm isipeleke ishara kwenye chumba cha usalama. Hapa kazi aliachiwa Yule mzee wa mwisho kuweza kutatua hili tatizo ili waweze kuanza kazi ya utoboaji wa kuingia ndani kabisa ya kuba.
INAENDELEA.. !!!

553
00:34
20.03.2025
(SEHEMU YA TISA)
Usiku wa tukio wale wazee sita wakiwa wamevalia kama mafundi wa manisapaa walifika paka pale kwenye jengo la HATTON GARDEN na kuingia ndani kisha wakasubiri lifti na ilipofunguka wakaingia ndani ya lifti halafu lifti ikajifunga na kuanza kupanda juu, wakati inapanda juu MR.BASIL akafanya utaalamu wake na kuweza kuipoteza maboya kwanza kamera [kudisable] ndani ya lifti ambapo kilichotokea ni kuwa kamera ikawa inaonyesha picha za mwisho za wao wakiwa ndani na baadae lifti ikiwa tupu kama vile walifika na kutoka ili hali haikuwa hivyo kama ilivyokuwa ikionekana kule kwenye chumba cha usalama [polisi wamekataa mpaka leo kuelezea vyombo vya habari kuwa MR, BASIL alifanya utundu gan wa kuweza kupoteza maboya kamera kwa kuonyesha video za nyuma kama ndo za sazile wale wazee wakiwa ndani ya lifti, tusiwalaamu sana polisi kwa kutuficha labda na wao hawajajua alifanya nini]. Akili kubwa ya MR. BASIL ni kwamba alijua kabisa kuwa kudisable kamera isionyeshe kitu ni lazima kule chumbani mwa usalama wataona chenga na kujua kuna tatizo na wataanza kufuatailia na mission yao ingefeli ndo maana alitumia utundu wake wa kuweza kuicha kamera ienedelee kuonekana inafanya kazi kwa kuonyesha matukio ya nyuma badala ya kuonyesha tukio linaloendelea kwa wakati ule wazee wakiwa ndani.
Baada ya kumaliza kazi ya kamera ikawa sasa ni kuinasisha [disable] lifti isiendelee kwenda na akafanikiwa kwa kuisimamisha ikiwa imefika ghorofa ya pili, baada ya lifti kusimama CARL WOOD akatumia moja ya vifaa walivyobeba na kuweza kulazimisha kufungua mlango wa lifti na mwishoe akafanikiwa kuufungua malango wa lifti.
Baada ya kufungua malango wa lifti kazi iliyokuwepo hapo ni kuweza kushuka chini kuelekea ambako ndo kuba ya bohari salama ya HATTON GARDEN ambayo yenyewe ilikuwa chini kabisa ya jengo [underground]. Kutoka kwenye ghorofa ya pili mpaka chini kwenye kuba ilikuwa ni sentimita 426.72 ambako ndo walikuwa wanatakiwa washuke kuweza kuifikia kuba, kwa umri wa hawa wazee polisi wenyewe walishangaa hivi waliwezaje wazee kwa umri kama huu kuweza kushuka mpaka kufikia chini ya ardhi ila ndo hivyo uzee waliuweka pembeni na kupiga kazi.
Taratibu wakaanza kushuka. INAENDELEA

597
15:35
16.03.2025
#CHAKUSHANGAZA
Alipoulizwa kama anahitaji mali, akasema 'yeye siyo masikini'. Anao utajiri mwingi wa kutosha na Mwingine ameuongezea kutoka Kwenye Almasi za damu( blood diamonds) .
Alipowekwa mezani kusuluhishwa na kupewa umakamu wa rais akaukataa. Akaulizwa unataka nini? Akasema," Nataka Katika historia ya taifa hili, hata Kama ni kwa siku moja tu, nitangazwe kuwa niliwahi kuwa Rais wa nchi na Amiri jeshi mkuu.
Baba yake alikuwa ni mkristo Muhubiri wa madhehebu ya Kiprotestanti na pia alikuwa ni mkuu wa station ya treni.
Kwa sababu ya nafasi ya baba yake, jamaa akiwa na miaka 24, alipata Scholarship ya kwenda kusoma huko Ureno( Portugal).
Aliongoza mapambano ya vita vya Guerilla kumtoa mkoloni wa kireno ( Portuguese) Angola mwaka 1966-1974. Mwaka 1975 alianzisha chama cha siasa cha UNITA. Wapinzani wake walikuwa ni chama cha MPLA cha Rais Jose Edwardo Dosantos.
Katika harakati za uchaguzi na utawala baada ya vita vya kumtoa mkoloni, aliona ni kama amedhulumiwa ushindi na nafasi yake.
Hivyo aliukataa utawala uliojiweka madarakani na Kisha akaamua kuingia maporini na kufanya makazi yake msituni. Akidai kushinda uchaguzi na kudhulumiwa ushindi wake.
Mwaka 1991 yalifanyika makubaliano ya amani. Mwaka 1992 wakaingia kwenye uchaguzi na jamaa akadai kushinda uchaguzi lakini akadhulumiwa tena ushindi wake. Akaamua kukinukisha mazima. Mwaka 1994 yakafanyika tena makubaliano ya amani ya kuunda serikali ya mseto ili jamaa aingizwe kwenye serikali, lakini jamaa akayakataa.
Aliendesha Vita vya waasi wa msituni wa kundi la UNITA kwa zaidi ya miaka 30 na kuua watu wengi Sana wa Angola zaidi ya nusu Milioni. Aliua mpaka Wanawake na watoto waliotuhumiwa kwa uchawi.
Aliteka na kuiba rasilimali asili nyingi Sana za taifa ikiwemo mafuta.
Ilisemekana alikuwa akishirikiana kwa ukaribu Sana na nchi za magharibi mabeberu kuiba rasilimali za nchi kwa kubadilishana na silaha.
Aliitikisa nchi ya Angola vya kutosha. Jina lake lilikuwa likitajwa na kusikika watu walitetemeka maana ujue hiyo ni harufu ya kifo.
Angola ilimjua, Afrika ilimjua , dunia ilimjua. Aliua watu Wengi mpaka wanyama wa kufugwa walimjua.
Alitokea katika kabila kubwa la Ovumbundu nchini Angola.
Alikuwa ni mwanasiasa wa Asili, anayebadilika kulingana na wakati hali na mazingira, kiongozi mwenye mvuto wa hali ya juu na mzungumzaji mwenye ushawishi mkubwa sana.
Vita ya msituni ya miaka zaidi ya thelathini hatimaye ilifikia kikomo pale mabeberu yalipoamua kumgeuka na kubadili mtazamo wao. Hatimaye kubwa la maadui, Simba la vita, baba la waasi, nguli la harakati za msituni likauwawa mwaka 2002.
Anaitwa Jonas Malheiro Savimbi wa Angola..
Nb kwetu zamani ukiwa huchani nywele wanakuita savimbi

528
18:24
15.03.2025
(SEHEMU YA NANE)
Wiki moja kabla ya pasaka walikutana kijiweni kwao kwa ajili ya kikao cha mwisho ambapo kilikuwa na dhumuni la kugawana majukumu kutokana na professional au uzoefu wako ambapo MR BASIL ndo aligawa majukumu kwa wazee wenzake;
1)- KENNY COLLINS alipewa jukumu la kufanya ukaguzi wakati zoezi linendelea ndani kama kutakuwepo na ishara yoyote ya kushtukiwa aweze kuwastua, kwahiyo yeye alitakiwa kuwa nje ya jengo.
2)- HUGH DOYLE alipewa jukumu la kulinda zile dastinbini nje na kuhakikisha zinafikishwa karibu na mlango wa tahadhari ili mtu asije akazitoa au kuziwekea kitu ndani wakati wao wako ndani
3)- DANIEL JONES,TERRY PERKINS, CARL WOOD, WILLIAM LINCOLN BRIAN READER na MR. BASIL wao ndo watakaingia ndani ya bohari salama kuiba.
Baada ya mgawanyo huo wa kazi ikawa ni kusubiria siku ya tukio ifike waaanze kazi yao waliyoindaa miaka mitatu nyuma, katika hao sita watakaoingia kuiba kila mmoja wao hapo alikuwa na uwezo wake binafsi ambao utasaidia katika kufanikisha azma yao.
SIKU YA TUKIO
Siku moja kabla ya tukio yani jumatano MR. BASIL alihakikisha kila kitu kipo sawa kwa kuhakikisha magari yote yamekodishwa kwa ajili ya kazi na vitendea kazi vyote vipo kama reflector ambayo ilikuwa ya njano, kofia ngumu ya kichwani, mask, mabuti, gloves, mtungi wa gesi n.k.
Kesho yake ambayo ndo siku ya tukio wazee wote waliaamka asubuhi kama kawaida na kuanza maandalizi ya tukio kwa kila mtu kuwa na usafiri wake kwaaajili ya tukio na ilikuwa imepangwa kuwa watakuna eneo husika nyakati za jioni.
Jioni yake kila mtu alitumia usafiri husika kufika HATTON GARDEN ila kama ilivyopangwa mzee READER yeye alitumia usafiri wa jumuiya kufika bohari salama ilipo ambapo kutoka kwake mpaka hapo ilikuwa ni dakika 80.
Usiku wa tukio wale wazee sita wakiwa wamevalia kama mafundi wa manisapaa walifika paka pale kwenye jengo la HATTON GARDEN na kuingia ndani kisha wakasubiri lifti na ilipofunguka wakaingia ndani ya lifti halafu lifti ikajifunga na kuanza kupanda juu, wakati inapanda juu MR.BASIL ikawa sasa ndo muda wake wa kuanza kufanya mautundu yake... INAENDELEA..!!!

15:26
12.03.2025
imageImage preview is unavailable
#CHAKUSHANGAZA
General Twalipo alizaliwa mwaka 1928 na alijiunga na Jeshi la mkoloni mwaka 1947. Baada ya Uhuru na kufuatia ile Army Mutiny ya kwanza alipandishwa cheo haraka haraka na kuwa Captain kutoka kwenye Leutenant. Na hapo ndio Captain Sarakikya akapandishwa kuwa Brigadier na kuwa CDF.Mwaka 1972 akaondoka Jeshini akiwa Lt.Col na kwenda kuwa Mkuu wa mkoa wa Kagera/ Katibu wa TANU.Baada ya kutoelewana Mwalimu na Sarakikya 70s hapo Gen Sarakikya akastaafishwa na kupelekwa kuwa waziri wa Michezo. Lt Colonel Twalipo akapandishwa cheo na kuwa Major General na kurudishwa Jeshini( Ndomba style) akapewa uCDF( Ni yeye ndio aliyemualert Mwalimu kuhusu hilo jaribio so alimuamini).Amekaa kwenye uCDF mpaka 1980( Hence vita yote ya Kagera alikua Command Unit Ngome).Alipotoka Jeshini alikuja kuwa Waziri wa Ulinzi mpaka 1983.Aliondoka kimya kimya sana kwa sababu ya 1982 coup attempt. Amefariki Mwezi Januari 2004.....RIP General Chakaza....

536
16:23
11.03.2025
imageImage preview is unavailable
Tuambie ulikua unafanyaje ukiwaona hawa
498
16:22
11.03.2025
(SEHEMU YA SABA)
bwana JONES kwakuwa tayari ashakuwaga mkandarasi akapewa jukumku la kutafuta vifaa husika kwa ajili ya kukamilisha zoezi zima na hili jukumu lilikuwa rahisi kwake kwani yeye ni mzoefu wa vifaa hivyo na aliiweza kulifanikisha hilo zoezi vilivyo kwa kununua kila kifaa kilichohitajika kufikia mwaka 2014 akawa amekamilisha jukumu lake
Kikao kiliisha na kila mzee aliondoka zake na hii ilikuwa mwisho wa mwaka 2013 huku wakiwa wanasubiria MR. BASIL kuja na huo mfumo wa lifti wa namna ya wao kuingia katika bohari salama na kufanya yao.
MR. BASIL aliendelea kusoma mfumo wa lifti wa jengo zima kwani alipata sana changamoto ya mfumo wa hilo jengo kutokana na ulinzi wake amabako kulikuwa na kamera ndani ya lifti zake pamoja usasa wa lifti ambao yeye alikuwa tayari ameshaacha kazi hiyo na kumfanya arudi darasani kwa kwenda kusoma online ambako alilipia na kupata shule ili kuongeza maarifa ya namna ya kucheza na lifti za kisasa.
Kutokana na changamoto hizo ilimchukua zaidi ya miezi kumi kuweza kupata ni namna gan ya kucheza na lifti hizo na hiyo ni baada ya kupata shule online na kuwa nondo ukijumlisha na uzoefu wake wa kufanya hizo kazi za kuweka na kutengeneza lifti .
Kufikia mwisho wa mwaka 2014 walifanya tena kikao chao na genius aliwaelezea namna watakavyoingia kutumia lifti kufanya mazingaombwe yao ya kuwaacha midomo wazi dunia yote kutokana na ustadi wao.
Baada ya mpango kazi kukamilika ikabaki kupanga ni lini watafanya tukio na hapo MR. BASIL alikuwa ameshaandaa ni siku gani watafanya kazi yao na akwaambia wenzake kuwa mwakani [2015] siku ya pasaka ndo siku tutakayo fanya uvamizi kwasababu ni sikukuuu wafanyakazi wanakuwa majumbani wakisherehekea , polisi wengi wanakuwa wametanda sana maeneo ya starehe na jumuiya kwa ajili ya ulinzi kwasababu siku za sikukuu kunakuwaga na vurugu nyingi na pia pasaka ni sikukuu ndefu inayoanza kuanzia alhamisi kuu mpaka pasaka ya jumatatu ina maana tutakuwa na muda mwingi wa kufanya kazi yetu kwa ufasaha. Baada ya maelezo yote hayo wazee wenzake wakapitisha hiyo siku kuwa ndo siku ya tukio.
Wiki moja kabla ya pasaka walikutana kijiweni kwao kwa ajili ya kikao cha mwisho cha kugawana majukumu. INAENDELEA..

735
10:44
08.03.2025
imageImage preview is unavailable
#CHAKUSHANGAZA
Mashujaa 66 wa Vita vya Majimaji
Hii ni picha ya mashujaa 66 wa Vita vya Majimaji waliotekwa na Wajerumani mnamo Machi 1906. Mashujaa hawa walihukumiwa kunyongwa, na hukumu hiyo ilitekelezwa tarehe 27 Februari 1906.
Kiongozi wao, Nduna Songea Mbano Luwafu, alinyongwa peke yake siku tatu baadaye, tofauti na wenzake waliouawa kwa pamoja. Mashujaa hao walizikwa katika kaburi la pamoja lililopo katika Makumbusho ya Taifa ya Majimaji, Songea.
Inasadikika kuwa Wajerumani walikata kichwa cha Nduna Songea Mbano na kuondoka nacho, na hivyo kaburi lake lilizikwa kiwiliwili pekee.
Hadi leo, mashujaa hawa wanaheshimiwa kwa ujasiri wao wa kupinga ukoloni wa Kijerumani katika ardhi ya Tanganyika.

881
08:12
01.03.2025
close
Reviews channel
keyboard_arrow_down
- Added: Newest first
- Added: Oldest first
- Rating: High to low
- Rating: Low to high
5.0
3 reviews over 6 months
Excellent (100%) In the last 6 months
c
**ffeenold@******.io
On the service since June 2022
13.01.202500:31
5
Everything is fine. Thank you!
Show more
Channel statistics
Rating
22.8
Rating reviews
5.0
Сhannel Rating
9
Followers:
4.7K
APV
lock_outline
ER
2.8%
Posts per day:
0.0
CPM
lock_outlineSelected
0
channels for:$0.00
Followers:
0
Views:
lock_outline
Add to CartBuy for:$0.00
Комментарий