
Monetize Telegram Mini App with Telega.io
Connect your app, set CPM, and watch your revenue grow!
Start monetizing
26.9

Advertising on the Telegram channel «Zijue Historia»
5.0
6
History
Language:
Other
1.1K
1
Share
Add to favorite
Channel temporarily not accepting requests
Choose another channel from recommendations or get a tailored list within your budget using AI
AI Channel Picker
Recent Channel Posts
imageImage preview is unavailable
PABLO ESCOBAR nguli wa mihadarati alikua akitafutwa na serikali ya MAREKANI kutokana na biashara yake ya mihadarati,chakushangaza ilisambaa picha akiwa amepiga mbele ya IKULU ya marekani.Jamaa alikua na jeuri na alikua anaishikilia dunia yake ya ulimwengu wa mihadarati mpaka sasa hakuna mfanya biashara aliyemfikia huyu jamaa kwa kuuza madawa ya kulevya.Asilimia kubwa ya vijana walioharibikiwa kutokana na madawa hayo katika bara la AMERIKA hasa USA ilichangiwa na bwana PABLO.
313
16:13
18.05.2025
imageImage preview is unavailable
Ncha za kucha ndefu zaidi kwenye mkono mmoja - zilipimwa kwa urefu wa jumla wa sentimita 909.6 (inchi 358.1). Rekodi hii inashikiliwa na Shridhar Chillal (India), ambaye alikuza kucha zake kwenye mkono wake wa kushoto.
885
07:05
10.05.2025
imageImage preview is unavailable
🌟 Unapata shida kuacha kutazama porn? Hauko peke yako! Katika video yangu mpya ya YouTube, ninaingia kwa undani katika sababu zinazofanya kuwa ngumu kuvunja tabia hii. Kuanzia athari za kisaikolojia hadi shinikizo la kijamii, ninachunguza changamoto zinazohusiana na uraibu na kutoa maarifa ambayo yanaweza kukusaidia katika safari yako ya kupona. Usikose—bonyeza kiungo na jiunge na mazungumzo! 📺✨
https://youtu.be/cHFGnYhIeD4
https://youtu.be/cHFGnYhIeD4
https://youtu.be/cHFGnYhIeD4
https://youtu.be/cHFGnYhIeD4
336
15:09
05.05.2025
Shelly na David walioana mwaka 1982, tangu hapo alikuwa anaonekana mara kwa mara kama mke wa mmoja wa viongozi wa dini hiyo, lakini tangu mwaka 2007 mpaka leo hajawahi kuonekana na hakuna anaejua Shelly yuko wapi, japo wapo wanaoamini kuwa ameamua kuishi maisha ya siri.
Scientology ni dini iliyoanzishwa mwaka 1953 ikianzia katika nchi za Marekani, Ufaransa na Ujerumani, na sasa imenea katika nchi zaidi ya 20 dunuani, kwa afrika ipo South Africa.
Dini hii, nchini Marekani wanalo jengo lao linaitwa The Hole, ni kama gereza linalopatikana California. Humo huwafungia waamini wao kwa mafunzo na mateso mbalimbali kama kushinda njaa na shughuli nyingine wanazoamini.
Waamini wanashinikizwa kuzungumza kuhusu maisha yao ya ngono hadharani wakiwa katika maeneo yao ya kuabudu.
Mwaka 2015 ilitoka filamu ya Going Clear, hii ni filamu iliyotoka kwenye kitabu alichoandika Sara Northrup ambaye ni mke wa pili wa Ron Hubbard. Hubbard ndiye mwanzilishi wa dini hii ya Scientology.
Katika filamu hiyo Sara anaeleza siri kuhusu dini hiyo na kuhusu mumewe, ambapo anasema kuwa miaka ya 1980 mumewe huyo aliwahi kueleza wazi kabisa kwamba mtoto wao Alexis aliyefariki mwaka 1951 yeye ndiye aliyemuua.
Sara na Hubbard walikutana miaka ya 1950 kwenye Sex Magick Cult, ndipo wakapendana na kuaoana. Sex Magick ni kama mashindano ya ngono yanayoendeshwa na kikundi fulani chenye imani. Dini ya Scientology inaendesha mashindano hayo pia.
Dini hii inaendesha shughuki zake ambazo inaelezwa nyingine zinakiuka sheria hali iliyopelekea shirika la upelelezi na usalama la Marekani FBI kuichunguza mara kadhaa.
1862
17:25
30.04.2025
Enjoy our content? Advertise on this channel and reach a highly engaged audience! 👉🏻
It's easy with Telega.io. As the leading platform for native ads and integrations on Telegram, it provides user-friendly and efficient tools for quick and automated ad launches.
⚡️ Place your ad here in three simple steps:
1 Sign up
2 Top up the balance in a convenient way
3 Create your advertising post
If your ad aligns with our content, we’ll gladly publish it.
Start your promotion journey now!
2085
07:54
24.04.2025
imageImage preview is unavailable
MARY BEATRICE KINNER huyu ndie mwanamke wa kwanza kugundua taulo za kike (pedi),alikua ni mmarekani alizaliwa 17/05/1912 huko monrie kusini mwa California USA na kufa 13/01/2006 katika hospitali ya subley memorial Washington DC.Alisoma katika chuo cha Harvard.
1938
16:46
21.04.2025
imageImage preview is unavailable
USE PROMO CODE: WELCOME130
GET UP TO $130 ON 1ST DEPOSIT✅
+18 Begambleaware org #STOPWAR
#ad
265
11:07
19.04.2025
imageImage preview is unavailable
*QUEEN GICANDA*
The Last Queen Of Rwanda👸🏽💔
♨️Miaka Kadhaa Behind Kidogo Paliwahi Tokea Mlimbwende Mmoja Alojaaliwa Uzuri, Upendo Ukarimu Na Karama Ya Uongozi Kama Malkia Chini Ya Miliki Ya Mumewe *King Mutara III.* Kabla Ya Mumewe Kutokomezwa {1959} Hapo Nchini Rwanda.
♨️Mlimbwende Huyu Aliitwa Malkia Rosalia Gicanda Alizaliwa 1928 Na Kudedi 1994 Akiwa Na Umri Wa Miaka 66.
♨️Kimsingi Ndiye Malkia Wa Mwisho Kuitawala Rwanda Katika Mfumo Wa Utawala Kifalme {Monarch System}.
♨️Mlimbwende Huyu Ni Miongoni Mwa Wanyarwanda Wa Kitusi Waliouawa Katika Lile Sekeseke La *Mauaji Ya Halaiki/Rwandan Genocide (1994). Ambapo Wahutu Waliwapokonya Sana Uhai Ndugu Zao Watusi.
2714
19:15
09.04.2025
imageImage preview is unavailable
Habari, marafiki! Nimeandaa video mpya kwenye YouTube inayozungumzia namna ya kuacha punyetu. Katika video hii, nitashiriki mbinu za kusaidia wale wanaotaka kuboresha maisha yao na kujifunza jinsi ya kushinda changamoto hii. Natumai utapata maarifa na motisha kutoka kwenye video hii! Tafadhali tembelea channel yangu, uangalie video hiyo, na usisahau ku-subscribe na kuacha maoni yako. Asanteni sana!
https://youtu.be/n_Id-yTNbgg
https://youtu.be/n_Id-yTNbgg
https://youtu.be/n_Id-yTNbgg
https://youtu.be/n_Id-yTNbgg
https://youtu.be/n_Id-yTNbgg
318
16:03
08.04.2025
imageImage preview is unavailable
Ningependa kuwashawishi muangalie video yangu mpya kwenye YouTube kuhusu kuacha kuangalia pornography.
Katika video hii, nitashiriki maarifa muhimu yatakayokusaidia kujiondoa katika mzunguko huu. Utajifunza kuhusu athari za pornography na mikakati ya kujijenga upya.
https://youtu.be/FbB0gYPIWq4
https://youtu.be/FbB0gYPIWq4
https://youtu.be/FbB0gYPIWq4
Tafadhali shiriki na wengine wanaweza kuwa na haja nayo.
Asante kwa kuangalia! Pamoja tunaweza!
---
Ni fupi na inatoa wito wa kuchukua hatua.
977
17:39
30.03.2025
close
Selected
0
channels for:$0.00
Subscribers:
0
Views:
lock_outline
Add to CartBuy for:$0.00
Комментарий